![]() |
| BAADHI YA WASHIRIKI WA UMITASHUMTA TOKA WILAYA YA BAHI WAKIPATA TAFSIRI KUTOKA KWA MTAALAMU NA MWALIMU WA LUGHA MAALUM YA VIZIWI |
![]() |
| MAKOCHA WA WILAYA YA CHAMWINO WAKIWAPA MAELEKEZO WACHEZAJI WAO WA TIMU YA MPIRA WA PETE. |
![]() |
| KWA KWELI HUDUMA ILIKUWA NZURI SANA. MADAKTARI WAKITOA HUDUMA KWA MCHEZAJI ALIYEUMIA WAKATI WA FAINALI YA MPIRA WA MIGUU. |
![]() |
| WANAMICHEZO WA SHULE ZA MSINGI ZA WILAYA YA KONDOA WAKIANDAMANA. SIYO SIRI WARING'ARA KWELI |
![]() |
| WACHZAJI WA WILAYA YA KONGWA WAKIANDAMANA KWA SHANGWE . |
![]() |
| BAADHI YA MAAFISA WALIOSHIRIKI KATIKA MAANDAMANO SIKU YA FAINALI ZA UMITASHUMTA MKOA WA DODOMA. |
![]() |
| HAPA SAAAASA! NAHODHA WA TIMU YA DODOMA MANISPAA AKIPOKEA KOMBE LA USHINDI KUTOKA KWA MGENI RASMI, MH. MKUU WA WILAYA YA BAHI, BETY MKWASA. |
![]() |
| MAKOCHA WA WASHINDI WA PILI MPRIRA WA MIGUU- WILAYA YA MPWAPWA WAKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAO. |
![]() |
| WASHANGILIAJI WAKIWAPA HAMASA WACHEZAJI WAKATI WA SHINDANO LA MPIRA WA MIGUU. |
![]() |
| MGENI RASMI. MH. BETY MKWASA AKIFUATILIA PAMBANO KALI LA MPIRA WA MIGUU, MBELE YAKE ALIKUWEPO MWALI ANAYESHINDANIWA. |
![]() |
| MGENI RASMI. MH,BETY MKWASA, KATIKATI AKIFUATILIA PAMBANO LA MPIRA WA PETE. |
![]() |
| MGENI RASMI,MH.BETY MKWASA AKIKAGUA TIMU YA MPIRA WA PETE YA WILAYA YA KONGWA |
![]() |
| WAAMUZI WA MCHEZO WA FAINALI WA MPIRA WA PETE WAKIWA PAMOJA NA MH.BETY MKWASA KATIKA UFUNGUZI WA FAINALI ZA MCHEZO HUO KATI YA WILAYA YA CHAMWINO NA KONGWA |
![]() |
| MH. BETY MKWASA AKIKAGUA TIMU YA MPIRA WA PETE YA WILAYA YA CHAMWINO |
![]() |
| SHAMBULI MATATA KWENYE GOLI LA TIMU YA KONGWA. |
![]() |
| WACHEZAJI WA TIMU YA WILAYA YA MPWAPWA WAKIWA KATIKA MAANDAMANO |
![]() |
| KOMBE HIIILO! MSHINDI WA RIADHA AKIPOKEA KOMBE KUTOKA KWA MGENI RASMI. M.BETY MKWASA |
![]() |
| MPWAPWA HAOOO! WAKIJINYAKULIA KOMBE KWA KUWA WASHINDI WA PILI KATIKA MPIRA WA MIGUU |
![]() |
| MSHIKEMSHIKE KWENYE FAINALI YA MPIRA WA PETE |
![]() |
| NGAO YA NIDHAMU HIYO! IKIENDA KWA WILAYA YA CHAMWINO |
![]() |
| NIACHENI NA VUVUZELA LANGU MIE! AU UNASEMAJE BOMALOGER? |
![]() |
| WASAFI HAO! WAKIPOKEA NGAO YAO. SI WENGINE ILA NI WASAFI WA KUTOKA WILAYA YA MPWAPWA. |
![]() |
| HONGERA UMESHINDA KATIKA MBIO. MWANARIADHA HUYO KUTOKA KONDOA |
![]() |
| AISEEEE! HUYU MDADA ANACHARU ILE MBAYA. KAKIMBIA KUSHINDA WENGINE WOOOTE. ANATOKEA WILAYA YA BAHI........ HUMKAMATI HUYU! |
























Comments
Post a Comment