![]() |
| Baada ya kutangazwa mshindi wa taji la miss dodoma katika mchuano ulioshirikisha walimbende 14 wa dodoma na vitongoji vyake hatimaye happy watimanywa alitawazwa mshindi wa taji hilo miss dodoma 2013. |
| warembo wakiselebuka miondoko ya kwa madiba tayari kwa kinyang'anyiro cha kumsaka kisura wa Dodoma awali kabla ya mioodoko ya paka (CAT WALK) kuanza |




















Comments
Post a Comment