BOMALOG ilikutana na maskauti wa wilaya ya Dodoma mjini wakiwa kwenye kambi yao ya kutwa.
Maskauti walikuwa wakifanya mambo mbalimbali na yote yalikuwa ya kuvutia sana na hakika yalipendeza.
kikukbwa na chakupongeza ni kuwa maskuti wanahimiza uzalendo. Kwa pamoja waliimba wimbo wa TAZAMA RAMANI. Bomalog inasikitika hukupata fursa ya kushiriki kambi hii, huko Medeli-Dodoma mjini.
 |
| MASKAUTI WAKIFANYA KICHEKESHO |
 |
| BAADHI YA VIONGOZI WA SKAUTI |
 |
| MASKAUTI WAKICHEZA WIMBO WAO KWA MANJONJO |
 |
| WAKATI WA KUIMBA WIMBO WA TAZAMA RAMANI |
Comments