Maonyesho ya nanenane kitafa yanafanyika mkoani Dodoma. Wadau mbalimbali wanashiriki maonyesho hayo yaliyofunguliwa rasmi mnamo tarehe 01/08/2013 na kufikia kilele tarehe 08/08/2013.
Waziri wa kilimo chakula na ushirika Mh. Mhandisi Christopher Chiza alitembelea viwanja vya nanenane vilivyo maeneo ya Nzuguni kwenye manispaa ya Dodoma. BOMALOG ilimmulika kama aonekanvyo:
| NI NGOMA YA KUMKARIBISHA MHESHIMIWA HIYO! WE ACHA TU! |
| MH. WAZIRI (KUSHOTO) AKIPTA MAELEZO TOKA KWA MSHIRIKI WA MAONYESHO |
| HUU ULIKUWA NI UFAFANUZI MURUA JUU YA MBEGU ZA ALIZETI |
| PAMBA NI ZAO LILISHIRIKI MAONYESHO! NA WAZIRI AMELIONA! YAANI NI NZURI.. |
| "HILI NI BILINGANYA LA KITAIFA! NI KUBWA KAMA BOGA. UKIONA BOGA LENYEWE?" |
| MAKAMANDA WA MAGEREZA WAPO MSTARI WA MBELE KUHAKIKISHA TAIFA HALIHISI NJAA! SAFI SANA! |
Comments