Maonyesho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Dodoma kwenye viwanja vya maonyesho vilivyo Nzuguwanni kwenye Manispaa ya Dodoma, yalifika kilele siku ya Jumatano tarehe 07/08/2013.
Wadau mbalimbali walishiriki na waliotia fora walitunukiwa zawadi murua kabisa! Haya ni baadhi ya matukio yaliyoshuhudiwa na BOMALOG kwenye kilele cha maonyesho hayo:
![]() |
| MAKAMU WA PILI WA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA KILELE CHA MOANYESHO YA NANENANE |
![]() |
| MKUU WA WILAYA YA CHAMWINO, MH.FATMA ALLY AKIPOKEA KOMBE LA USHINDI WA JUMLA KWA HALMASHAURI ZILIZOSHIRIKI MAONYESHO HAYO. |
| WILAYA YA CHAMWINO WAKIWA KATIKA SHANGWE KUUUBWA YA KUSHINDA KOMBE. HEKO KWAO! |
![]() |
| KAMISHNA WA MAGEREZA AKIPOKEA KOMBE LA USHINDI KWENYE KILELE CHA MAONYESHO YA NANENANE. PONGEZI KWAO MAKAMANDA KWA KAZI NZURI! |
| CHAMWINO! CHAMWINO! CHAMINO! OYEEEEEEE! |
![]() |
| AFISA WA TANAPA AKITOA HUDUMA KWA WANAFUNZI WALIOTEMBELEA BANDA LAO LA MAONYESHO! |




Comments
Post a Comment