| Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma Albart Mgumba akikata utepe kuzindua ofisi za chama hicho kata ya Chang'mbe iliyopo chang'mbe Magharibi |
| Jengo la ofisi ya CCM linavyoonekana baada ya kukamilika kwaajili ya matumizi kama linavyoonekana. |
| Wananchi wakiwa eneo la mkutano mkutano wakisubiri kuhutubiwa na katibu wa ccm mkoa.katibu akisalimiana na Wananchi |
Comments
Post a Comment