| Mwajuma Salum maarufu Bibi Ndonga [64] akimlalamikia kwa kumuonyesha Mhandisi msaidizi wa manispaa ya Dodoma Luanda stakbadhi ambazo amekuwa akilipia katika kipindi cha miezi miwili bila kukabidhiwa eneo la kuweka kibanda chake cha biashara na viongozi wa eneo hilo mhandisi huyo alifika kuona utaratibu uliotumika kujenga vibanda vya biashara. |
Comments
Post a Comment