Kijana mwenye umri wa miaka 21
aneonekana kama tegemeo la baadae kutoka klabu cha racing ya argentina Bruno zuculini amesema
anajivunia kuwa mchezaji wa nne muargentina kuingia mkataba na city baada ya
Sergio Aguero, Pablo Zabaleta na Martin Demichelis. Bruno huenda akakipiga
katika mechi ya ngao ya hisani dhidi ya arsenal

Comments
Post a Comment