Masaa 72 ya usitishwaji mapigano
baina ya Israel na hamas
yamekwisa ijumaa asubuhi wakati huo makombora yakirushwa kutoka gaza kuelekea miji ya
Israeli.
Waisarael wawili wamejeruhiwa
katika mji wa shaar hanegev
Waziri mkuu wa Israel Benjamin
Netanyahu ameagiza kikosi cha ulinzi cha Israel kujibu mashmbulio na kikosi
hicho kuvurumisha makombora 12
Vyanzo vya misri vilivyojihusiha na
usuluhishi baina ya pande mbili hizo kusitisha mapigano zimedai tofauti baina
ya isreli na palestina zitabaki kuwa kubwa

Comments
Post a Comment