Manji
amesema kuwa pamoja na
kuwa Makonda ametaka wafike Ijumaa yeye atakwenda kesho
huku akihoji kuwa inawezekanaje wakaitwa watu 65 kuhojiwa kama
hakuna shughuli za kufanya kwa siku nzima
Mfanyabiashara
Yusufu Manji amesema kuwa atakwenda Kituo cha Polisi kesho kama Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam,
Paul Makonda alivyotaka.
Manji
amesema kuwa pamoja na kuwa Makonda ametaka wafike Ijumaa yeye atakwenda kesho
huku akihoji kuwa inawezekanaje wakaitwa watu 65 kuhojiwa kama
hakuna shughuli za kufanya kwa siku nzima.
Amesema
atakwenda polisi lakini pia hilo
suala halitaisha hivyohivyo kwani atakwenda naye hadi mwisho.
By Boniface Meena

Comments
Post a Comment