Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa likitoka
Dodoma
kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha
vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.
Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza na
gazeti hili, Francis Massawe akizungumza juu ya ajali hiyo alisema
kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.

Comments
Post a Comment