Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na
maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo
hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za
kisheria kuchukuliwa kwa watakaokiuka.
Comments
Post a Comment